UTENGENEZAJI WA MAFUTA MGANDO
Bidhaa/ malighafi;
1. Micro wax
2. White oil
3. Rangi
4. Pafyumu
JINSI YA KUTENGENEZA
1. Chukua micro wax weka katika chombo unachotumia. (Plastiki)
2.Chukua white oil kwa kiasi kikubwa
3. Changanya vyote Kisha koroga. Hakikisha inakuwa na muundo wa uji uji.
4. Chukua kiwango cha Rangi Kijiji kimoja cha chai.
5. Changanya Kisha koroga
6. Chukua kichupa cha pafyumu, changanya Kisha koroga.
Hapo lotion yako itakuwa tayari kwa matumizi
Comments
Post a Comment